Young

KUNENA KWA LUGHA KAMA IBADA.

A. Maana na lengo la ibada. ” Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia. Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.”(Mathayo 4:5) Ibada ni kitendo cha mwanadamu kumsujudia na Kumuabudu Mungu […]

KUNENA KWA LUGHA KAMA IBADA. Read More »

KUNENA KWA LUGHA KAMA USHAHIDI WA AWALI WA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU.

Kitabu cha matendo ya mitume ndio kitabu kilichohifadhi kwa kina kuhusu ujazo wa Roho Mtakatifu kuanzia kwa mitume, Kanisa la Samaria,Kornelio na familia yake, Mtume Paulo na Kanisa la Efeso. Wasomi wa Historia wa kanisa wanasema kipindi cha kuanzia siku ya pentekoste mpaka kanisa la efeso linajazwa  na Roho Mtakatifu ni kipindi cha zaidi ya

KUNENA KWA LUGHA KAMA USHAHIDI WA AWALI WA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU. Read More »

MAMBO YANAYOFANIKISHWA KWA KUNENA KWA LUGHA.

Tulipokuwa tunaangazia maana ya kunena kwa lugha tulihitimisha kwa kusema kuwa Kunena kwa lugha ni uwezo wa lugha ya kiungu wa kufanikisha mambo mengi kwa sababu nyingi za kiroho. Mambo yafuatayo ni sehemu ya mambo makuu ambayo kunena kwa lugha kunayafanikisha kwa sababu kadha wa kadha za kiroho; Ukifuatilia Habari ya kunena kwa lugha kibiblia

MAMBO YANAYOFANIKISHWA KWA KUNENA KWA LUGHA. Read More »

NAFASI YA AKILI NA FAHAMU ZA KAWAIDA KATIKA KUNENA KWA LUGHA.

Akili ya binadamu (kwa Kiingereza “mind”]) ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo hasa wa binadamu, unaomwezesha hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake upande wa maadili na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi kwa kutumia hiari yake. (Wikipedia) Akili ya mwanadamu ni sehemu ya nafsi

NAFASI YA AKILI NA FAHAMU ZA KAWAIDA KATIKA KUNENA KWA LUGHA. Read More »