MAANA YA KUNENA KWA LUGHA.
Kunena kwa lugha ni uwezo wa mtu anayemuamini Yesu (aliyeokoka) kuzungumza kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, lugha (inayoeleweka kibinadamu au isiyoeleweka kibinadamu) ambayo kwa akili za kawaida mtu huyo haifahamu wala hajawahi kujifunza lugha hiyo. Kwa maana hiyo hapo juu tunaona vipengele vikuu vitatu vya kunena kwa lugha ambavyo ni; 1. Kunena kwa lugha kunatendwa […]
MAANA YA KUNENA KWA LUGHA. Read More »
